Young Teacher
Senior Member
- Jul 29, 2012
- 186
- 43
Umenena ukweli kijana ingekuwa terminal ningekupa 95%
Wanaumiza wenye majeraha kiukweli sijapenda kilichotokea.
Wanaumiza wenye majeraha kiukweli sijapenda kilichotokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena ukweli kijana ingekuwa terminal ningekupa 95%
Wanaumiza wenye majeraha kiukweli sijapenda kilichotokea.
hapana,una vigezo vyake,lazima uwe na kitambulisho cha mzanzibar mkaazina tusiokuwa wazanzibari tunaruhusiwa kuomba?
hapana,una vigezo vyake,lazima uwe na kitambulisho cha mzanzibar mkaazi
Hapo chini umeandika unawakilisha.Swali ni je unamwakilisha nani? Au pengine ulitaka kusema unawasilisha?
Halafu hakuna neno 'haijarishi' ni haijalishi.
Nasikitika uandishi wa kiswahili ni tunu adhimu inayopotea.
think with reasoningHivi kwani mkopo ni guaranteed kwamba ukikosa ulalamike?bodi imepokea ma wao,sasa ulitaka ikupe wewe imnyime nani?tukubali matokeo,aliepata kapata,na aliekosa kakosa,maisha yanasonga,kulalamika ni kupoteza muda
tatizo watanzania tunapenda vya bure sasa ulitaka uapply kwa Tsh ngapi tukutengenezee system yako
mimi siyo mwl, niko kula kulala, ninyi wa Nacte subirini watatoa hivyo punguza presha,Nimesoma Taqwa div 1 pt 16. Nimemaliza DIT 2012 OD ETE. Nimepata MUST EEE. Inaelekea we mwl?