Serikali na CCM walivyo na sikio la kufa lisilosikia dawa, tayari wanataka kuanzisha vita nyingine kubwa na hatari zaidi na Kanisa la Mungu

Yaaan Ujinga hauwezi kuisha duniani,
Ujinga utaishaje maana wajinga wa kujitakia kama wewe lazima wawepo tu..?
Hivi hiyo mikataba mingine iliyoingia SEREKALI NA TEC wewe unaijua au unaropoka ropoka tu,
Umetokea wapi wewe na kuanza kunilisha maneno nisiyoyasema?

Pls, mimi sijadili mikataba ya serikali na TEC..
Hawa TEC unakumbuka waliganya nn kwenye vita ya RWANDA,
Fafanua ueleweke. Eleza Kwa ushahidi walifanya Nini...
Alafu unaongea pumba zako hapa za habari ya wawakilishi wa mungu,Kwanza nani kakwambia mungu ana wawakilishi??
Kwa kuwa u mjinga, huwezi kujua haya mambo kwa sababu ufahamu na uelewa wako ni zero...!!

Ukiwa tayari kupata ufahamu na maarifa haya, acha ujuha na ulimbukeni wa kidini, njoo tujadiliane
 
Lakini walikaa kimya wakati Mashehe wanatukana watu wanaoheshimika kutokana misimamo yao juu ya mkataba wa DPW.
 
Lakini walikaa kimya wakati Mashehe wanatukana watu wanaoheshimika kutokana misimamo yao juu ya mkataba wa DPW.
Kama ulisema wewe kwenye hilo, inatosha. Wao wamesema kwenye hili. Wamekosea kwani?
 
Kwa kuwa mama yupo upande wa GIZA na wananchi wapo upande wa NURU, nina imani giza haliwezi kuushinda mwanga.
 
Kwani kusitisha kuendelea na huo mkataba anaona shida gani? Kama sababu ya kushupaza shingo ni kutaka kuleta maendeleo kama anavyosema, wenye nchi yao (wananchi), tumekataa. Yeye anaumia nini sisi tukikataa hayo maendeleo yatayoletwa na DPW, kwa mkataba huu? Wengi tupewe. Mkataba haufai.
 
Nenda China uone kama kuna huo upuuzi wa makanisa
CCM bila aibu wanaleta mkataba wa Kimangungo, Ibara 4 (2) eti Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi, Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai, Tena kwa Mali zake? Huu ujinga ubaki CCM.
 
Weka icho kifungu hapa
 
Mama anashindwa kutekeleza maoni ya wananchi kwa sababu amekula pesa ya waarabu wa DPW na waarabu wametaifisha ndege yake. Inabidi kwanza tutatue tatizo la ndege kabla ya kuja kwenye hili la DPW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…