shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Home ya dengue is serious. Serikali ichukue hatua madhubuti. Unless watuambie Wana precipitate malaria kwa dengue
Yes dar watu wanakufa sanaDuuuh....n wapi huko inakouua?? DSM hiihii au??
Duuuh......hii n hatari......lkn mbona matibabu yake n easy tu jmn?? Au watu wanapuuzia kwenda hospitali??Yes dar watu wanakufa sana
Duuuh......hii n hatari......lkn mbona matibabu yake n easy tu jmn?? Au watu wanapuuzia kwenda hospitali??
Duuuh.....tiba IPO mkuu ....pole sana kwa kupoteza wapendwa wako...I can imagine how u feelHospitali kuna dawa ya dengue??!! Kwanini tununue dawa(kama ipo) badala yake tuangamize masalia ya hao mbu?
Hakuna msisitizo ktk kushughulikia hili tatizo, serikali inawekeza kwenye rasilimali MALI inasahau rasilimali WATU.
THIS IS A DEAD TYPE OF GOVERMENT EVER HAPPENED IN THIS WORLD.
Duuuh.....tiba IPO mkuu ....pole sana kwa kupoteza wapendwa wako...I can imagine how u feel
Hiyo hyo ndio tiba mkuu.....wewe tiba unataka iweje??? ...kwa kifupi hakuna dawa duniani ya kuua a dengue fever virus and all other hemmorhagic fevers kama Ebola,mafua ya ndege,n.k......Hakuna tiba zaidi ya maji na panadol
Hiyo hyo ndio tiba mkuu.....wewe tiba unataka iweje??? ...kwa kifupi hakuna dawa duniani ya kuua a dengue fever virus and all other hemmorhagic fevers kama Ebola,mafua ya ndege,n.k......
Just ukiona dalili seek medical care for proper parliative care
Alafu watoto wa kajamba nani dengue haiwaui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani sijui immunity zao zipo vizuriiiExtremely serious, kama familia ya Tarimba imepoteza watoto wawili regardless kuwa wako class ya kati je wa huko manzese,tandika na tandale ambao hawana platform ya kujiekeza ikoje.
Huwezi nunua mandege,kujenga mareli wakati taifa la mungu linateketea kwa sababu ya UJINGA, UMASKINI NA MARADHI, ni upumbavu mkubwa.
Hapo umenena.....Sawa ila serikali ifanye kazi yake bana, midege na mibarabara bila watu hayana maana