Serikali na jinsi inavyshughulikia ugonjwa wa Dengue

Serikali na jinsi inavyshughulikia ugonjwa wa Dengue

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
2,487
Reaction score
2,394
Mheshiwa waziri na serikali yako, staki kuongea mengi bali nikustue tu kuwa dengue imeua, inaua na inaendelea kuua, hivi mnataka tufe sote ndo mchukue hatua?

Bado uko ofisini na wala hutaki kujua kuhusu dengue?Mumeo Paskali hakuambii ukweli wa huku mtaani kuhusu dengue, tafadhali chukua hatua maana JPM akituita Ikulu mbele ya makamera tutasema na atakutumbua na tutashangilia kupita mazuzu.

Dengue imeua wengi
 
Home ya dengue is serious. Serikali ichukue hatua madhubuti. Unless watuambie Wana precipitate malaria kwa dengue
 
Extremely serious, kama familia ya Tarimba imepoteza watoto wawili regardless kuwa wako class ya kati je wa huko manzese,tandika na tandale ambao hawana platform ya kujiekeza ikoje.
Huwezi nunua mandege,kujenga mareli wakati taifa la mungu linateketea kwa sababu ya UJINGA, UMASKINI NA MARADHI, ni upumbavu mkubwa.
 
Duuuh......hii n hatari......lkn mbona matibabu yake n easy tu jmn?? Au watu wanapuuzia kwenda hospitali??

Hospitali kuna dawa ya dengue??!! Kwanini tununue dawa(kama ipo) badala yake tuangamize masalia ya hao mbu?
Hakuna msisitizo ktk kushughulikia hili tatizo, serikali inawekeza kwenye rasilimali MALI inasahau rasilimali WATU.
THIS IS A DEAD TYPE OF GOVERMENT EVER HAPPENED IN THIS WORLD.
 
Duuuh.....tiba IPO mkuu ....pole sana kwa kupoteza wapendwa wako...I can imagine how u feel
 
Hakuna tiba zaidi ya maji na panadol
Hiyo hyo ndio tiba mkuu.....wewe tiba unataka iweje??? ...kwa kifupi hakuna dawa duniani ya kuua a dengue fever virus and all other hemmorhagic fevers kama Ebola,mafua ya ndege,n.k......
Just ukiona dalili seek medical care for proper parliative care
 
Sawa ila serikali ifanye kazi yake bana, midege na mibarabara bila watu hayana maana
 
Extremely serious, kama familia ya Tarimba imepoteza watoto wawili regardless kuwa wako class ya kati je wa huko manzese,tandika na tandale ambao hawana platform ya kujiekeza ikoje.
Huwezi nunua mandege,kujenga mareli wakati taifa la mungu linateketea kwa sababu ya UJINGA, UMASKINI NA MARADHI, ni upumbavu mkubwa.
Alafu watoto wa kajamba nani dengue haiwaui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani sijui immunity zao zipo vizuriii
 
Inasikitisha kama bado ugonjwa huu unaendelea na nimeona wao hawaongelei.. kama vile wameukubali ugonjwa huu kuwa wa kama kawaida tu.
 
Serikali ipo siriasi na vitu ambavyo sio siriasi.
 
Ni lazima Elimu dhidi ya dengue itolewe ili watu wajue namna ya kujikinga. Dengue ni moja Kati ya homa hatari sana(Hemorrhagic fevers) inayoenezwa na mbu aina ya Aedes Aegyticus.
 
Homa ya dengue ni moja kati ya homa kali na hatari sana katika maisha yetu.Homa hii pia huitwa homa inayovunja mifupa ( breakbone fever), ni moja ya maradhi ambayo hutokea zaidi msimu wa mvua.Homa hii huambukizwa na virusi vya mbu aina ya Aedes ambao ni weusi wenye madoadoa meupe yenye kung’aa.Mbu wa dengue hung’ata vipindi viwili kwa siku, hung’ata asubuhi kabla jua kuchomoza, pia hung’ata wakati wa jioni masaa machache kabla ya jua kuzama. Mda mwingine mbu wa dengue hung’ata usiku maeneo yenye mwanga.Ipo tofauti kati ya mbu wa malaria na Mbu wa dengue: mbu wa dengue huwa hana kelele na hupendelea kuuma sana kwenye magoti na viwiko hivyo si rahisi kumsitukia wakati anaukuuma.

Hapa Tanzania watu 12,000 wamegundulika kuugua ugonjwa wa homa ya Dengue toka Januari mpaka mwanzoni mwa Mei 2019.Maeneo ya Dar es Salaam ambayo yameathirika zaidi na ugonjwa huo ni Ilala, Kariakoo, Upanga, kisutu, Buguruni, Tabata, Mbezi, Ubungo, Kinondoni, Msasani na Masaki.
 
Back
Top Bottom