Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mmeambiwa kuweni watulivu
Duuuh......hii n hatari......lkn mbona matibabu yake n easy tu jmn?? Au watu wanapuuzia kwenda hospitali??
Pole sana mkuuMatibabu ni easy ila ugonjwa sio easy kwa mara ya kwanza nimelia mara mbili mbele ya daktari maumivu yalikuwa ya dunia nyingine
Pole sana mkuu