Serikali na jinsi inavyshughulikia ugonjwa wa Dengue

Serikali na jinsi inavyshughulikia ugonjwa wa Dengue

Fahamu zaidi hapa
 
Kuna siku nilisikia kuwa dawa za kuua wadudu zitapulizwa dar es salaam. Ilifanyika na ilileta tofauti kwa uwapo wa mbu?
 
Matibabu ni easy ila ugonjwa sio easy kwa mara ya kwanza nimelia mara mbili mbele ya daktari maumivu yalikuwa ya dunia nyingine
Duuuh......hii n hatari......lkn mbona matibabu yake n easy tu jmn?? Au watu wanapuuzia kwenda hospitali??
 
Back
Top Bottom