kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,875
- Thread starter
-
- #21
Ndiyo maana nilisema serikali na makampuni yatakosa kipato (nikaweka neno under ceteris peribus/ other things remain constant) kwa maana kwamba ukipunguza gharama tunategemea wateja waongezeke hivyo kipato kinaongezeka lakini kama utapunguza halafu wateja wasiongezeke (other things remein constant) utapata hasara au kupunguza kipatoKwa upande mwingine, kibiashara, kushusha bei ya bidhaa humfanya mtumiaji kutumia zaidi na matokeo ni faida kwa muuzaji kifedha na kihisia, kwani Mteja huhisi kuthaminiwa.
Tutaendelea kupigwa mpk mwishoHujuma za makampuni hazitaisha as far as ndio wafadhili wakubwa kifedha wa CCM wakati wote.
rostam ana hisa tu ila sio mmiliki.Wamiliki wa haya makampuni ni akina Rositamu Azizi unategemea ninni?
Ushauri ni kuachana na makampuni hayo au tuyasusie na turudi TTCL tuone hicho kiburi chao kitawapeleka wapi.soko si huria tuwahame turudi nyumbani hayo makampuni ya mabeberu ni shida yako kiunyonyaji zaidi na mbaya kuliko yanatumika na wtz wenzetu kutuhujumu.Vodacom ni mtandao wa kijeuri sana! Na mdogo wake anaitwa Tigo! Ni shida. Sisi wenye line mbili tu (voda&tigo), tumeshawazoea. Bado miaka michache tu kutimiza miaja 20 tangu nilipo jiunga nao.
Kuna wengine line zetu ni mpaka kifo! Hivyo tutavumilia tu maumivu.Mkuu imefunga nao ndoa ya kikristo?