Serikali na kuondoa kodi kwa wenye mitaji chini ya mil4 na bodaboda

syte

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
32
Reaction score
6
Ndg zangu mtakumbuka wizara ya fedha kwenye bajeti ya mwaka jana walisema wanafuta kodi kwa wenye mitaji chini ya milion4 na wenye bodaboda, lkn imekuwa kinyume huku sumbawanga tra wamewafungia wajasilia mali wengine mitaji yao haifiki hata mil3 sasa walikuwa wanataka waonekane ccm wana huruma sana kwa wananch kumbe wanajivisha ngozi ya kondoo ndani ni simba.
Huku ukionekana na bodaboda hujailipia wanakukamata mpaka ulipe ndipo wanakupa pikipiki.
Sasa kwa anayeguswa unadhani nini kifanyike.?
 
ahh mkuu serikali wewe wasikilize tu ukisema uwafatilie watakuumiza kichwa tu hawana moja wanalolitekeleza hao.
 
Ndg zangu mtakumbuka wizara ya fedha kwenye bajeti ya mwaka jana walisema wanafuta kodi kwa wenye mitaji chini ya milion4 na wenye bodaboda, lkn imekuwa kinyume huku sumbawanga tra wamewafungia wajasilia mali wengine mitaji yao haifiki hata mil3 sasa walikuwa wanataka waonekane ccm wana huruma sana kwa wananch kumbe wanajivisha ngozi ya kondoo ndani ni simba.
Huku ukionekana na bodaboda hujailipia wanakukamata mpaka ulipe ndipo wanakupa pikipiki.
Sasa kwa anayeguswa unadhani nini kifanyike.?

Hapo kwenye BOLD, cha kufanya ni kusubiri ha 2015, tuwanyime kura ili nchi itawaliwe na wengine... na wao wawe chama cha upinzani
 
mmmh! Mwenzenu nimekata tamaa kabisa na hii serikali ya ccm. Cjui ni lin na cc 2takuja kuwa kama china au marekan
 
Ndg zangu mtakumbuka wizara ya fedha kwenye bajeti ya mwaka jana walisema wanafuta kodi kwa wenye mitaji chini ya milion4 na wenye bodaboda, lkn imekuwa kinyume huku sumbawanga tra wamewafungia wajasilia mali wengine mitaji yao haifiki hata mil3 sasa walikuwa wanataka waonekane ccm wana huruma sana kwa wananch kumbe wanajivisha ngozi ya kondoo ndani ni simba.
Huku ukionekana na bodaboda hujailipia wanakukamata mpaka ulipe ndipo wanakupa pikipiki.
Sasa kwa anayeguswa unadhani nini kifanyike.?

Acha kupotosha wa2,serikali ilisema kuanzia mwezi july-2013,haitawatoza kodi wafanyanya biashara wenye mauzo chini ya tsh.milioni 4,kwa mwaka na c mitaji.tofautisha mtaji na mauzo.
 
Lipa kodi upate huduma,elimu,matibabu,barabara,safi.acha kutafuta visingizio!
 
Back
Top Bottom