Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo saiv mtu kila mahali anakuwa na simu yake.