Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
Tutashinda hakuna mwenye nguvu kuliko wananchiAsubuhi na mapema tutakuwepo kuikomboa tanganyika yetu