nusu kaputi
Member
- Feb 1, 2014
- 55
- 128
Serikali yetu sikivu ikiongozwa na Raisi Samia Suluhu ,Chukueni hatua za haraka mkishirikiana na Baraza la Maaskofu TEC, Wagonjwa tunaoumia , Madactari wameanza kuomba rushwa na kuongea lugha mbaya ya vitisho
Mfano siku nimepeleka mama yangu kutibiwa nilikutana na Dactari wa kinamama, alibaibainika mama as nashida ya uzazi as nahitaji operation, Dactari akapanga tuje baada ya mwezi anawagonjwa
Wengi,tukamwambia atufanyie ,alitupa tusi yeye ndio Dactari bingwa pekee wa kansa, Kwa hiyo hatuna uwezo wakumfanya Chochote mpaka tukaenda Muhimbili, akafanyiwa upasuaji bila shida, Kuna Dactari mwingine yaani , hospital imekuwa inawatu waajabu,ni Bora ukaenda kamanga , Muhimbili,Kcmc kuliko Bugando
Lugha chafu imekaa hasa Kwa Madactari
Bila rushwa hutubiwi
TEC NA SERIKALI WEKENI MKURUGENZI KAMILI TUPATE HUDUMA NZURI, Bugando ndio hospital tunayoitegemea wakazi wa Kanda ya ziwa,