Mkuu Bugando Wana wagonjwa wengi kweli.
Nadhani nyie mlivyopewa majibu ,mkataka afanyiwe siku hiyo hiyo na kusahau kwamba, Daktari huyo tayari ana mpango kazi wake wa kufanya upasuaji Kwa wagonjwa wengine waliofika siku ,wiki Kadhaa nyuma .
Hivo kuwaambia baada ya Mwezi Mmoja, sio kwamba hakua na Kazi, la hashaa, hapo katikati tayari ana wagonjwa keshawaweka Kwa ratiba.
Kulazimisha kwenu pengine lugha mloitumia na wagonjwa wengine mnavyojua kulalamika, Yeye naye ni Binadamu, hivo akaaamua kuwapanda kichwan sawa na nyie mlivyompanda kichwani.
Bugando ni Moja ya Hospital Bora, Namba Mbili Nchini baada ya Muhimbili.