Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Alichokifanya Kamwe ni kumshambulia mkuu wa Mkoa binafsi. Unawezaje kukejeli imani ya wenzetu wasabato?Wasemaji hawana weledi je hao wakuu wa mikoa nao wana weledi? Au ndio mkubwa hakosei? Hao wakuu wa mikoa wanajiingiza kwenye ushabiki
Ngoja wamtukane na Kabudi labda serikali itaamka usongizini. Mi niliachaga kushabikia hizi timu Yanga na Simba baada ya kuona ni kundi la wapumbavu. Wana kiburi kwani nyuma yao kuna viongozi wakubwa mpk marais. Ligi yetu bila Simba na Yanga kupangiwa ligi zao haiendi popote. Club gani kuanzia mvuta bangi mpk Rais wa nchi ni mshabiki tena waziwazi. Wametuharibia mpira wetu hao wapuuzi.Nimepitia maoni ya watu wengi kuhusiana na hawa wasemaji wa vilabu. Wengi wao hawana weledi. Angalia namna msemaji wa Simba alivyokua akimuongelea Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, juzi Kamwe kamtolea maneno ya hovyo Mkuu wa Mkoa wa Tabora, kashfa na kumshambulia binafsi. Wasemaji sasa wanaweza kuwatweza viongozi wa juu wa serikali na watu wapuuzi wakiwashangilia. Nao wanajiona wakubwa kuliko viongozi, wanaona aliye juu yao ni Mh. Rais pekee. Serikali na TFF ichukue hatua haraka kuwakata mikia iliyoanza kuwaota hawa wasemaji.
Iwapo kolo kasemwa na mwananchi je?Nimepitia maoni ya watu wengi kuhusiana na hawa wasemaji wa vilabu. Wengi wao hawana weledi. Angalia namna msemaji wa Simba alivyokua akimuongelea Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, juzi Kamwe kamtolea maneno ya hovyo Mkuu wa Mkoa wa Tabora, kashfa na kumshambulia binafsi. Wasemaji sasa wanaweza kuwatweza viongozi wa juu wa serikali na watu wapuuzi wakiwashangilia. Nao wanajiona wakubwa kuliko viongozi, wanaona aliye juu yao ni Mh. Rais pekee. Serikali na TFF ichukue hatua haraka kuwakata mikia iliyoanza kuwaota hawa wasemaji.
Kwahiyo unaona ni sawa mkuu wa mkoa kutumia mamlaka yake kuchafua brand za watu? Anatoa tuhuma za rushwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakati TAKUKURU ipo chini yake na anauwezo wa kuwaagiza wafanye kazi yao badala ya kulia lia hovyo.Alichokifanya Kamwe ni kumshambulia mkuu wa Mkoa binafsi. Unawezaje kukejeli imani ya wenzetu wasabato?