Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana nini hasa na wafanyabishara?
Wafanyabiashara wa nchi hii kutokana na uelewa wao kama walivyo raia wengi wanahitaji kuchungwa hasa na madai yao kuangaliwa kwa makini kama yana maslahi kwa raia walio wengi.
Wafanyabiashara wa nchi hii kutokana na uelewa wao kama walivyo raia wengi wanahitaji kuchungwa hasa na madai yao kuangaliwa kwa makini kama yana maslahi kwa raia walio wengi.