Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

Kama ni kweli then hiyo wala siyo quarantine tena.

Kwani hiyo supu na bia hawawezi kupatiwa wakiwa hapohapo hotelini kama hela wanayo?
 
leo niko maeneo haya ntjitahidi kuwapiga picha hawa wauwaji ntaziupload hapa...
 
Back
Top Bottom