Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Apr 2, 2020 #21 Kama ni kweli then hiyo wala siyo quarantine tena. Kwani hiyo supu na bia hawawezi kupatiwa wakiwa hapohapo hotelini kama hela wanayo?
Kama ni kweli then hiyo wala siyo quarantine tena. Kwani hiyo supu na bia hawawezi kupatiwa wakiwa hapohapo hotelini kama hela wanayo?
Ulweso JF-Expert Member Joined May 24, 2016 Posts 23,111 Reaction score 28,020 Apr 2, 2020 #22 Mla Bata said: Daaah nimebaki na mshangao tu, Mungu atusaidie tu, hii nchiii aisee. Click to expand... Nchi hii akili zetu zinaanza kucharge nyuma kuja mbele Sent using Jamii Forums mobile app
Mla Bata said: Daaah nimebaki na mshangao tu, Mungu atusaidie tu, hii nchiii aisee. Click to expand... Nchi hii akili zetu zinaanza kucharge nyuma kuja mbele Sent using Jamii Forums mobile app
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,296 Apr 2, 2020 Thread starter #23 leo niko maeneo haya ntjitahidi kuwapiga picha hawa wauwaji ntaziupload hapa...