Zipo nyingi tu mkuu.
Siku hizi tangu lini? Bank of Tanzania haijawahi toa statement kuondoa sarafu yoyote kwenye mzunguko. Hazitengenezwi mpya ila hazijazuiwa kutumikaSiku hizi sarafu ya mwisho inayotumika kwenye mzunguko ni 50. Hizi 10 umetumia wapi au zinatumika tu kufanya utapeli?
🤣🤣Tanzania
Hebu zitafute hizo uwe nazo hata za elfu kumi tu halafu nenda nazo popote kafanyie matumizi yako.Siku hizi tangu lini? Bank of Tanzania haijawahi toa statement kuondoa sarafu yoyote kwenye mzunguko. Hazitengenezwi mpya ila hazijazuiwa kutumika
Huko ndio kuzuiliwa? Nitafute sarafu za shilingi 10 zitimie shilingi 10,000 nina kichaa? Kwani note ya 10,000 sinaHebu zitafute hizo uwe nazo hata za elfu kumi tu halafu nenda nazo popote kafanyie matumizi yako.