Serikali Ndio Imetuharibia,Laiti kama Wangewanunulia Waislamu Datubini ya Kutaza Mwezi Kesho Ijumaa Ingekuwa Eid El Fitr

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Laiti kama hili ombi lingetekelezwa kesho Ijumaa ingekuwa Eid na Watumishi wangefurahia weekend.

Walaumiwe Serikali sio Mufti wa Bakwata (1) Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi | JamiiForums Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

View: https://www.instagram.com/p/DWFRR8oAs58/?igsh=dG9jb2hhZzg0dWxt

My Take
Sijawahi waelewa Waislamu kwamba Kila Nchi Ina mwezi wake au? 😂😂👇👇
Kenya,Uturuki nk kesho Ijumaa ni Eid El Fitr

View: https://www.instagram.com/p/DWCRtc4jffE/?igsh=MXA4MTJza3NpaHVxbA==
 
Ni matokeo ya mitazamo tofauti ya kifiqhi kuhusu uthibitisho wa mwezi,

Wapo wanaofuata kuonekana kwa mwezi sehemu yoyote duniani,

Na wapo wanaosisitiza kila eneo lithibitishe lenyewe kutokana na tofauti za kijiografia na hali ya anga
 
Laiti kama hili ombi lingetekelezwa kesho Ijumaa ingekuwa Eid na Watumishi wangefurahia weekend.

Walaumiwe Serikali sio Mufti wa Bakwata (1) Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi | JamiiForums Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

My Take
Sijawahi waelewa Waislamu kwamba Kila Nchi Ina mwezi wake au? 😂😂👇👇
Kenya,Uturuki nk kesho Ijumaa ni Eid El Fitr

View: https://www.instagram.com/p/DWCRtc4jffE/?igsh=MXA4MTJza3NpaHVxbA==

Kwanini msichange waislamu nchi nxima mpo wangapi ?...waislamu wenye miaka 20 hadi 60 mpo zaidi ya mil 10 kila mmoja akitoa sh 1000 moja tu ingetosha sana....tatizo lenu waislamu mmejariwa midomo na kubinua jijambio tu mambo ya msingi mnataka kufanyiwa na Serikali.
 
Back
Top Bottom