ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Hao BAKWATA wanasubiri maelekezo kutoka Kwa Bashite
BAKWATA ni taasisi ya CCM
Wale answar sunna kesho wanakula idd sjaabu leo wameanza
Hawa jamaa wameniaharibia ratiba yangu ya kesho
Mtoto alikua kashakaa kwenye line kaka sasa inabidi aende kazini
Kwanini msichange waislamu nchi nxima mpo wangapi ?...waislamu wenye miaka 20 hadi 60 mpo zaidi ya mil 10 kila mmoja akitoa sh 1000 moja tu ingetosha sana....tatizo lenu waislamu mmejariwa midomo na kubinua jijambio tu mambo ya msingi mnataka kufanyiwa na Serikali.Laiti kama hili ombi lingetekelezwa kesho Ijumaa ingekuwa Eid na Watumishi wangefurahia weekend.
Walaumiwe Serikali sio Mufti wa Bakwata (1) Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi | JamiiForums Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi
My Take
Sijawahi waelewa Waislamu kwamba Kila Nchi Ina mwezi wake au? ππππ
Kenya,Uturuki nk kesho Ijumaa ni Eid El Fitr
View: https://www.instagram.com/p/DWCRtc4jffE/?igsh=MXA4MTJza3NpaHVxbA==