Serikali ni sababu ya kusitishwa kwa shughuli za STORIES OF CHANGES ya JF

Serikali ni sababu ya kusitishwa kwa shughuli za STORIES OF CHANGES ya JF

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Tangu jukwaa la STORIES OF CHANGES lianzishwe mwaka 2021 na project zake za kuandaa shindano kila mwaka nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana.

Mwaka 2025 na Mwaka 2026 hakujafanyika project hiyo na hakuna sababu yoyote iliyotolewa na wamiliki wa Mradi huu ambao ni JF.

Stories of changes ililenga kupata mawazo chanya kutoka kwa Watanganyika na Wazanzibar(Hakuna mwananchi anaitwa Mtanzania).,na kuwasilisha kwa serikali kwa lengo lakufanyia maboresho katika sekta mbalimbali,mfano mzuri mimi niliwahikutoa wazo la matumizi ya VIWEZESHI VYA KIELEKRONIKI KWA WATU WENYE ULEMAVU WA KUSIKIA NA KUONA,LIKACHUKULIWA NA SASA LIMEANZA KUTEKELEZWA ,NI FAIDA.

Sasa tangu Samia taifa limekuwa la ajabu kuwahi kutokea,nikiangalia kwa na kutafakari kwa umakini akili inaniambia kwamba JF kusitisha shughuri hizi ni kwa sababu ya ukiziwi na udwanzi wa serikali,JF wakikusanya mawazo hayo watampelekea nani na akawasikiliza?

Wanaona ni misuse of resources and energy at all,kadhalika serikali hiyohiyo imekuwa ikiitishia JF mara kenda kwamba i-ondoe baadhi ya taarifa zinazo inanga Gavo ,walipokataa waliwaenda kuwavamia ofisini kwao wakimtaka Melo,mwisho wa siku wakaipiga bani ,na kumtisha Melo kwamba watampoteza na wakimpoteza watanzania watapiga kilele mwezi mmoja watamsahau,na huyu aliyasema haya ni Msigwa.

STORIES OF CHANGES.png


Serikali ya mchongo imeharibu kila kitu,miradi ya maana,ajira nk vimeharibika pasipo sababu za msingi.

STORIES OF CHANGES kulikuwa na madini mengi sana.

SERIKALI YA KIJINGA.
 
Back
Top Bottom