Serikali oneni aibu kwenye suala la umeme uwanja wa Benjamin Mkapa

Kisayansi hiyo ilikuwa ni technical Fault. Hakuna kitu chochote kinachotengenezwa na mwanadamu kikakosa kupatwa na tatizo hata dogo siku moja. Hata huko kwa wenzetu hayo hutokea, tatizo lingekuwa hilo suala linajirudia rudia kila mara. Si kila siku tunaangalia mechi za mpira za usiku hapo hapo, haya huwa yanatokea mara kwa mara kweli?
 
Itakuwa LUKU iliisha, na vibanda vya M-Pesa vimefungwa
 
Umeme kucheza si ndio suala la Tanesco
 
Apa Kuna wahuni wachache Wana taka kumwagia mchanga lishe ya maharage na January na kumuaibisha bimkubwa acheni hujuma waungwana hivi baba akiaibika si ni familia nzima mna fedheheka acheni roho mbaya.
 
Hichi ndio wabaya wanakitaka lakini sikuzote wambili havai Moja hizi kazi na vyeo ni kama vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…