Hivi hao wataalamu wa TANESCO wanaweza kulielezaje hili suala la kukatika umeme katika uwanja wa Mkapa?
Katika nchi inayofuata utawala Bora, akina January Makamba na mwenzake Maharage Chande, inabidi wawajibuke mara moja
Wakigoma kuwajibika, inabidi aliyewateua, Rais Samia awafute kazi Kwa kulisababishia aibu kubwa Taifa letu, Kwa kuwa tumeendelea kuweka historia mbaya, Kwa kuwa ni Taifa la kwanza, kutokea aibu ya aina hii, ya kukatika Kwa umeme katika uwanja mkubwa kama huo wa Mkapa, kukatika umeme![emoji41]