Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
- Thread starter
-
- #21
Hizi kauli dhidi ya watumishi wa kweli wa Mungu si ngeni..Mbarikiwa ana shida ya akili
Asante mkuu.Shimba ya Buyenze Mkuu pita hapa mwimbaji wako pendwa yupo pagumu
Mungu amsaidie tuuAsante mkuu.
Kwenye baadhi ya nyimbo zake anasema kuwa atakuja kuuwawa tu maana maadui zake wana nguvu.
Mungu Amtie nguvu japo mimi naamini pengine anahitaji msaada wa afya ya akili maana baadhi ya mambo anayofanya hata ukimuangalia tu yanaonyesha kuwa kuna kitu hakiko sawa.
Tupe link mkuu..Asante mkuu.
Kwenye baadhi ya nyimbo zake anasema kuwa atakuja kuuwawa tu maana maadui zake wana nguvu.
Mungu Amtie nguvu japo mimi naamini pengine anahitaji msaada wa afya ya akili maana baadhi ya mambo anayofanya hata ukimuangalia tu yanaonyesha kuwa kuna kitu hakiko sawa.
Kinachosikitisha na kuniogopesha mimi wanadai huyu mchungaji ni mwehu, amechamganyikiwa..!Mungu wetu ni mungu wa wote, kama ni kweli wanafanya haya Mungu hawahi na wala hachelewi atawanyoosha kwa wakati
Polisi hawana akili kbsKwa maneno haya polisi wanasema kuwa HUO NI UCHOCHEZI DHIDI YA SERIKALI..!![emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
TISS kweli ina meno kwa watu masikini na wasiokuwa na nguvu za kimamlaka na pesa ila kwa wenye pesa na wenye mamlaka ya juu wanakuwa vibogoyo kabisa.
Pamoja na TISS kuna na nguvu kwa normal people na ubogazi wao still kumuua mtoto wa huyo mbarikiwa ni kitu kisichowezekana hata kama wangekuwa bogazi vipi, wanamuua kwa lipi na point ya kumuua ni ipi ? Huyo mbarikiwa ana impact gani nchi hii zaidi ya waumini wake wasiofika hata 200. TISS waache kumuua huyu mbarikiwa waende wakaue mtoto innocent [emoji38] lengo ni nini kwamba wameshindwa kumuua mlengwa mwenyewe ? Mtoto wa mbarikiwa amekufa lini ? Na Masoro amepata u DGIS lini? Hata kama alikuwa deputy na director wa internal affair still hakuna mashiko ya kufanya ivyo. Mtoto amekufa August 2022 , huyo Masoro kawa DGIS 2023 [emoji38].
Huyo mbarikiwa kinachomsubua ni Afya ya Akili tena ukichanganya na dini ndo kabisa matokeo yake haya kusema mtoto ameuliwa , kila fallacy inayokuja kichwani mwake basi anaichukulia kama maono au kitu halisi.
Uzuri haya mambo ya imani yanakinga watu wasionekane machizi , maana imani unaweza ukaamini chochote kile ilimradi ni kitu kisicho na uthibitisho ndo maana kuna yule nan sijui ana id ya kieebrania (mwalimu) na wenzake wanatuambia Tanganyika ndipo Eden mpaka mambo ya vitabu vya isaya wanasema ni utabiri kuhusu Tanganyika [emoji23][emoji23].
Huyo mbarikiwa hana tofauti na kina Mackenzie.@Rabon unaitwa huku
Sawa.Ana tafuta kiki, Serikali imuue mtoto wake kwa interest zipi au ana threat zipi kwa nchi.
Kama alimtoa kafara asimtafute mchawi kuchafua watu.
Wewe unauliza Mbarikiwa ana impact gani kwa nchi..waliomkamata mtoto wake Mbarikiwa kwa sababu ya kuimba wimbo, wimbo una impact gani kwa nchi hadi wamkamate..usiwasemee TISS, waambie wajibu anayosema Mch. Mbarikiwa wao wenyewe..! si kitu cha ajabu TISS kutuhumiwa kupoteza watu, kwa nini wanawapoteza..waulize wao!TISS kweli ina meno kwa watu masikini na wasiokuwa na nguvu za kimamlaka na pesa ila kwa wenye pesa na wenye mamlaka ya juu wanakuwa vibogoyo kabisa.
Pamoja na TISS kuna na nguvu kwa normal people na ubogazi wao still kumuua mtoto wa huyo mbarikiwa ni kitu kisichowezekana hata kama wangekuwa bogazi vipi, wanamuua kwa lipi na point ya kumuua ni ipi ? Huyo mbarikiwa ana impact gani nchi hii zaidi ya waumini wake wasiofika hata 200. TISS waache kumuua huyu mbarikiwa waende wakaue mtoto innocent [emoji38] lengo ni nini kwamba wameshindwa kumuua mlengwa mwenyewe ? Mtoto wa mbarikiwa amekufa lini ? Na Masoro amepata u DGIS lini? Hata kama alikuwa deputy na director wa internal affair still hakuna mashiko ya kufanya ivyo. Mtoto amekufa August 2022 , huyo Masoro kawa DGIS 2023 [emoji38].
Huyo mbarikiwa kinachomsubua ni Afya ya Akili tena ukichanganya na dini ndo kabisa matokeo yake haya kusema mtoto ameuliwa , kila fallacy inayokuja kichwani mwake basi anaichukulia kama maono au kitu halisi.
Uzuri haya mambo ya imani yanakinga watu wasionekane machizi , maana imani unaweza ukaamini chochote kile ilimradi ni kitu kisicho na uthibitisho ndo maana kuna yule nan sijui ana id ya kieebrania (mwalimu) na wenzake wanatuambia Tanganyika ndipo Eden mpaka mambo ya vitabu vya isaya wanasema ni utabiri kuhusu Tanganyika [emoji23][emoji23].
Huyo mbarikiwa hana tofauti na kina Mackenzie.
Mungu hapendi kiburi, JPM aliendekeza ujinga wa kusifiwa..yale yale ya mfalme Sauli na mbaya zaidi ulevi wa madaraka ukamlevya akafanya mambo ya aibu uchaguzi wa 2020, Mungu akachora mstari hakufika popote pamoja na hao wapambe wake kufanya siri ya anachoumwa, ila kifo haikuwa siri!JPM alijaribu kidogo Kwa Askofu Zakaria Kakobe na Niwemungizi kwa kigezo hikihiki cha Uraia...
Lakini haraka sana akajirekebisha na akapata bonus ya kuishi miaka kama 4 au 5 lakini kwa kiburi chake cha ndani a ndani akashindwa kuomba toba, akafa kifo cha aibu sana..
Huyu Jezebel kama tu Jezebel halisi wa kwenye Biblia alivyokumbana na mkono wa Bwana, vivyo hivyo huyu atakavyoishia..
Huwezi kujua kwa sababu wewe na yeye (Mch Mbarikiwa) mnaishi ktk frequency za ulimwengu tofauti kabisa.TISS kweli ina meno kwa watu masikini na wasiokuwa na nguvu za kimamlaka na pesa ila kwa wenye pesa na wenye mamlaka ya juu wanakuwa vibogoyo kabisa.