Serikali/Polisi Mkoa wa Mbeya mna ugomvi gani na Mtumishi wa Yesu Kristo Mch Mbarikiwa Mwakipesile..?

Huyo Mbarikiwa Mwakipesile unaweza kuta hakuwahi kuwa hata na mtoto. Bali ni mapepo tu yanamjia anajikuta ana mtoto halafu na mtoto anauliwa na DG TISS wa kwenye ndoto. Ogopa MATAPELI wa Biblia, muache huyo mjinga atumikie kifungo ili akili imrudi
 
Vitabu vya dini vimesema muheshimu mamlaka...
 
Mataifa yaliyoendelea, viongozi wakikosolewa wanafurahi ili wajikosoe na nchi isonge mbele. Afrika kuna nini?hii ni sababu nyingine ya bara la Afrika kutokuendelea.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
.....Huyo mbarikiwa kinachomsubua ni Afya ya Akili tena ukichanganya na dini ndo kabisa matokeo yake haya kusema mtoto ameuliwa , kila fallacy inayokuja kichwani mwake basi anaichukulia kama maono au kitu halisi......
Kwa hiyo kumfunga ndo tiba ya afya ya akili?
Huyo mbarikiwa hana tofauti na kina Mackenzie.
Amezika waumini wangapi hadi sasa?

Tukisema serikali hususan dola haina tofauti na makaburu wa Afrika ya Kusini hatujakosea
 
Mataifa yaliyoendelea, viongozi wakikosolewa wanafurahi ili wajikosoe na nchi isonge mbele. Afrika kuna nini?hii ni sababu nyingine ya bara la Afrika kutokuendelea.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Watu wanaowanga, kuroga na kutoa kafara ili waingie mamlakani usiombe kuwakosoa, watamkosoa Mungu kwa kukuumba wewe hatima yake
 
Wewe ni nani hapo kanisani

USSR
 
Huyo Mbarikiwa Mwakipesile unaweza kuta hakuwahi kuwa hata na mtoto. Bali ni mapepo tu yanamjia anajikuta ana mtoto halafu na mtoto anauliwa na DG TISS wa kwenye ndoto. Ogopa MATAPELI wa Biblia, muache huyo mjinga atumikie kifungo ili akili imrudi
Asante kwa maoni na mtazamo wako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…