Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Huna hata paka nyumbani kwako, unaleta mkalio humu
OK Mkuu
Kuna maisha baada ya upumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hata paka nyumbani kwako, unaleta mkalio humu
Subiri Wafugaji Tujadili Mambo Yanayotuhusu, Wewe Baki Na Bajaj ZakoSasa ninyi ni wafugaji gani hata vifafaranga mnashindwa kuzalisha mnategemea akili za wakikuyu na waluo? hiyo aibu wala msingeiweka hapa
Nchi inayopiga bidhaa za nchi nyingine kuingia kwao ni nchi ya wajinga na wavivu, Watanzania wangekuwa wazalishaji hiyo marufuku hata kusingekuwa na haja ya kuiweka, supply ya ndani ingezuiwa tu za nje kuingia sababu za nje zingekuwa ghali zaidi sababu ya umbali na kodi...ila sababu tumejaa wavivu huku hadi suppy inayotoka Kenya inakua rahisi hata baada ya kupigwa kodi na kusafirishwa kutoka mbaliHii ni mada ya ajabu kuwahi kutokea tangu dunia imeundwa. Tanzania hakuna vyuo vya kilimo? hakuna wataalamu wa kilimo kuweza kutengeneza breed za kuku mpaka muagize Kenya? kwani wao wanapatia wapi? Huo ndio mwisho wenu wa kufikiri? Badala ya kusema tuboreshe taasisi zetu za tafiti na uzalishaji wa mifugo na kilimo unataka short cut ya kuagiza kutoka hapo KENYA ambao ni wakulima kama wewe wanazalisha na kusambaza???