Serikali ruhusuni vifaranga toka Kenya

Wafugaji wengi wa kuku wa nyama Morogoro wamekata mitaji yao kisa hili suala.Na hii biashara ilikua inawasaidia kwelikweli...
 
Sasa ninyi ni wafugaji gani hata vifafaranga mnashindwa kuzalisha mnategemea akili za wakikuyu na waluo? hiyo aibu wala msingeiweka hapa
Subiri Wafugaji Tujadili Mambo Yanayotuhusu, Wewe Baki Na Bajaj Zako
 
Sasa ninyi ni wafugaji gani hata vifafaranga mnashindwa kuzalisha mnategemea akili za wakikuyu na waluo? hiyo aibu wala msingeiweka hapa

We endesha bajaj zako, unafikiri Vifaranga vinazalishwa wodini [emoji28]
 
Ugumu wa kuzalisha vifaranga wetu unasababishwa na nini hawa?
 
Nchi inayopiga bidhaa za nchi nyingine kuingia kwao ni nchi ya wajinga na wavivu, Watanzania wangekuwa wazalishaji hiyo marufuku hata kusingekuwa na haja ya kuiweka, supply ya ndani ingezuiwa tu za nje kuingia sababu za nje zingekuwa ghali zaidi sababu ya umbali na kodi...ila sababu tumejaa wavivu huku hadi suppy inayotoka Kenya inakua rahisi hata baada ya kupigwa kodi na kusafirishwa kutoka mbali

Serikali ingeondoa hiyo marufuku kama wazalishaji wa ndani hamna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…