Serikali sikivu - kodi zilizoondolewa na serikali baada ya kupokea maoni ya wananchi ili kuboresha

Kuna nchi inaongozwa na Mapaka!Eti tozo walipendekeza wananchi👇😁😁😁
View attachment 2342849
Wananchi tunataka maendeleo kupitia hizi tozo tumepata maendeleo mengi huduma za afya zimeboleshwa jumla ya vituo 234 vimekamilika pia sekta ya elimu imeboleshwa saizi wanafunzi wanapata mikopo bila shida
 
Sasa wale wenye kipato cha chini ndio tunawasaidia kupitia tozo wanapata elimu bure na huduma bora za afya
Na bado salary yake ya laki moja inakatwa Kodi na serikali na akienda bank kutoa wanakata tena tozo
 
Hili suala waziri amesema watalifanyia kazi

Why hakufanya bfr ajatoa press release? Wakati wanaamua walikuwa hawajui?

Ela za Royol tour ziko wapi? Ela za uviko ziko wapi? Ela za mikopo kibao ya juzi hapa ziko wapi?

Kila siku visingizio ni vile vile,


Afya, elimu,

Hakuna siku ambayo inakuia case mpya
 

Umesikika mkuu:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…