Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

Na tunaanza kumshughulika kesho saa 10:00 jioni kupitia Lipuli FC.Baada ya hapo asubiri mishughulikio mingine mikali zaidi.Hatutaki ungese!
 
Kwani shida ni ruhusa ya kuondoka au siku ya kuondoka? Mtu akishapewa go ahead na club sio lazima aondoke siku hiyo hiyo, ana watu wa kuagana nao, mambo ya kujipanga kabla ya kuondoka nk. Hata akiondoka j.pili sisi Yanga tunajua amepata likizo fupi kujiandaa na timu ya Taifa bhaaasi
Iringa to Dar angeweza kufika Jumamosi hiyo hiyo na kuunganisha DRC. Haondoki leo wala kesho

Barafu la moto
 
Coach wenu msaidizi Djuma na Niyonzima WALIKWENDA SERENA HOTEL KUKUTANA NA LION sports Club MBONA HATUKUONA POVU HILO uzwazwa huo pambana na lako kesho achana na Zahera YEYE NI MKONGO NA WALE NI WACONGO KUKUTANA NAO KUNA KOSA GANI.....BOOOOOOO
 
Mbona ni vitu vya kawaida tu hivi. hata Simba ilipoenda DRC ilipokelewa na Wabongo wanaoishi kule kisha ikasimuliwa mbinu za kupambana na As Vita. Kitu cha maana ni Simba ionyeshe uwezo wake wote uwanjani. Hata Zahera asipowasaidia mbinu ndugu zake, mbona wameshaziona mechi zote ambazo Simba ilicheza huko nyuma? na wameshaisoma, na kubwa zaidi walishatoa dozi nene ya goli 5.
 
Simba inajiwakilisha na mashabiki wake haiwakilishi Tanzania. Kwenye mechi haupigwi Wimbo wa taifa. Ikifungwa 5x 2 +2 sio Tanzania imefungwa ni simba imefungwa.
 
Hizi ndo figisu Uongonzi wa simba vp unafanyiwa figisu nyumbani kwao?
 
Huyu zahera naona njaa imeshafika kichwani sasa anaweweseka tu
 
Umeandika mengi pumba tuu hujatoa sababu ya msingi kwa nini Zahera ashughulikiwe na amefanya usaliti upi. Haukufundishwa kuandika Insha?
 
muuache kiherehere nyie maboya wa simba hakuna hela yenu inayomlipa Zahera ,nisisi Yanga chama kubwa tunaomlipa na ndiyo tumempa uhuru huo
 
Tunampokonya working permit mpuuzi huyu
Hivi kuna siku Simba mlimpa Zahera siri zenu? Na ni siri gani anayoijua Zahera inayowatisha hadi muwe na hofu kiasi hiki? Kama ni formation na tactics siku hizi watu wanakaa kwenye chumba wanaangalia replay mechi zenu tatu zilizopita wanapata kila kitu, sasa mnadhani kuna wanaloweza kulitaka Vita kuhusu ninyi wakalikosa popote hadi wapewe na Zahera? Au Zahera aliwahi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya ufundi Simba?
Wewe ni senior member humu, acha kujidhalilisha kama mtoto wa juzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zahera ni mwehu, hajui tofauti ya timu ya taifa na vilabu na akathubutu kusema hamna kocha duniani hawezi isaidia timu ya nchi yake. Sidhani kama Guardiola ataisaidia barcelona iifunge Manu, only in Congo.
Ila nafikiri anatafuta kibatua pale Vita.
 
Hilo barafu lako la moto kesho jua linawaka hadi saa sita usiku lazima liyeyuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea utadhani una unasaba na Herode, kumbe Mbumbumbu fulani tu, mkaazi wa Buguruni Malapa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nendeni mkachangishane hela Okwi alipwe, mambo ya kocha wa Yanga nyie yanawahusu nini?
Daah wewe ndo gongo kabisa nani anasema Okwi hajalipwa?? Mabakuli yako huko vyurani bora timu mpeni Akilimali awe mwenyekiti atawasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…