Serikali sitisheni ajira za walimu wa leseni(vodafasta) ni kero mashuleni

Serikali sitisheni ajira za walimu wa leseni(vodafasta) ni kero mashuleni

mwl wa leseni sio tu anapokea mshahara 80% ya mshahara wa mwalimu wa diploma,pia hana TSD namba,hapandi daraja la mshahara kama wengne wanavyopanda mara baada ya miaka mitatu,hana barua rasmi ya kuthibitishwa kazini,haruhusiwi kusimamia mitihani ya taifa,haruhusi kwenda kusaisha mtihani wa taifa na pia haruhusiwi kushika nyadhifa kubwa mashuleni kama kuwa mkuu wa shule
We Rama inaonekana unachuki binafsi tu na hao walimu, kama unafuatilia trend ya performance tangu 2009 hadi sasa utaona ya kwamba kipindi walimu wa leseni wapo mashuleni ufaulu ulikuwa mkubwa ila sasa diploma na graduate kibao ufaulu unashuka.Jipange kivingine acha chuki binafsi
 
Back
Top Bottom