Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Mambo yamebadilika skuizi wasomi ni wengi na Kila mwaka wanafunzi zaidi ya 200,000 huitimu KATIKA vyuo mbali mbali nchini.
Pia fursa mbalimbali za ajira na kazi zimekuwa chache kutokana na idadi kubwa ya wahitimu.
Imajeni mtoto anamaliza chuo ana miaka 25 au 26 na zaidi mtaani anakaa miaka 3 au 4 na zaidi afu unakuja kumuwekea limitationsa za umri wa KUINGIA KAZINI ni miaka 20 au 28.
Hapo ni kukatisha watoto tamaa ya kusoma na kuwanyima fursa bila maana yoyote.
Ajira zote za serikali ikiwemo kwenye taasisi zake na za binafsi limitations za kuingia KAZINI iwe ni kuanzia miaka 45.
Hii ni ili WATANZANIA wote waliopambana kusoma wapate fursa za kuchuana KATIKA vinyang'anyiro mbalimbali vya ajira na kazi.
Kila mtanzania msomi anahaki ya kupambana KATIKA ushindani wa soko la ajira maana ni haki yake kuajiriwa na kupata kazi.
Pia kustaafu waongeze umri hadi miaka 65