Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Mtanzania miaka 45 Bado kijana mbichi na mwenye nguvu kiakili, kiafya na kimwili. Kila mtanzania ana haki ya kupambania fursa na kuipata.Inategemea ni ajira ya sehemu gani.. kuna sehemu vijana wa umri chini ya 40 wanahitajika zaidi kulingana na kazi zinazofanyika kule
Uwezi kulinganisha umri wa 25 na 45 katika utendaji kazi…. Umri wa binadamu kadri anavyokua ndyo unachoka kuvumilia kazi ngumu.. kwanzia 40+ hata macho yanashake focus. Hizi ni tafiti za kweliMtanzania miaka 45 Bado kijana mbichi na mwenye nguvu kiakili, kiafya na kimwili. Kila mtanzania ana haki ya kupambania fursa na kuipata.
Ujinga.Serikali haipo kukusaidia wewe upate kazi Bali kuleta ufanisi Kwa Umma na ufanisi inajengwa na uzoefu wa mda mrefu.Mambo yamebadilika skuizi wasomi ni wengi na Kila mwaka wanafunzi zaidi ya 200,000 huitimu KATIKA vyuo mbali mbali nchini.
Pia fursa mbalimbali za ajira na kazi zimekuwa chache kutokana na idadi kubwa ya wahitimu.
Imajeni mtoto anamaliza chuo ana miaka 25 au 26 na zaidi mtaani anakaa miaka 3 au 4 na zaidi afu unakuja kumuwekea limitationsa za umri wa KUINGIA KAZINI ni miaka 20 au 28.
Hapo ni kukatisha watoto tamaa ya kusoma na kuwanyima fursa bila maana yoyote.
Ajira zote za serikali ikiwemo kwenye taasisi zake na za binafsi limitations za kuingia KAZINI iwe ni kuanzia miaka 45.
Hii ni ili WATANZANIA wote waliopambana kusoma wapate fursa za kuchuana KATIKA vinyang'anyiro mbalimbali vya ajira na kazi.
Kila mtanzania msomi anahaki ya kupambana KATIKA ushindani wa soko la ajira maana ni haki yake kuajiriwa na kupata kazi.
Pia kustaafu waongeze umri hadi miaka 65
Mbona wabunge mawaziri na rais wengi Wanaingia KATIKA kazi hizo wana zaidi ya miaka 60 na Bado wengine hawataki kustaafu mpaka wanafia kwenye uwaziri mfano lukuvi miaka 70.Uwezi kulinganisha umri wa 25 na 45 katika utendaji kazi…. Umri wa binadamu kadri anavyokua ndyo unachoka kuvumilia kazi ngumu.. kwanzia 40+ hata macho yanashake focus. Hizi ni tafiti za kweli
Mbona wabunge mawaziri na rais wengi Wanaingia KATIKA kazi hizo wana zaidi ya miaka 60 na Bado wengine hawataki kustaafu mpaka wanafia kwenye uwaziri mfano lukuvi miaka 70.
Mbona wazee Wana ufanisi Tena angalau watu wazima wametulia kuliko vijana wako siriazi na kazi wanajielewa na wanaufanisi mzuriUjinga.Serikali haipo kukusaidia wewe upate kazi Bali kuleta ufanisi Kwa Umma na ufanisi inajengwa na uzoefu wa mda mrefu.
Pili Duniani kote umri wa kustaagu unaongezwa sio kuounguzwa Kwa sababu ya kuepuka mzigo wa kuleta wastaafu ambao ni jukumu la serikali la kisheria.
Nasemea wasomi waliopambana na kitabu ACHANA na form four failureMiaka 45 ukikua wapi ndo uje ulilie kazi ya serikali leo? Sio kila mtu aajiliwe wengine tukalime bhana
Kazi za jeshi, miaka 45 ni karibia miaka ya kustaafu. Kusubiria kuajiriwa ni jambo zuri ila kubwa zaidi ni mazingira yawe sawa ili watu wajiajiri. Ukweli ni kwamba vyuo vinazalisha wahitimu kuliko uhitaji wa soko la ajira, hivyo lazima kuwe na njia mbadala.Mambo yamebadilika skuizi wasomi ni wengi na Kila mwaka wanafunzi zaidi ya 200,000 huitimu KATIKA vyuo mbali mbali nchini.
Pia fursa mbalimbali za ajira na kazi zimekuwa chache kutokana na idadi kubwa ya wahitimu.
Imajeni mtoto anamaliza chuo ana miaka 25 au 26 na zaidi mtaani anakaa miaka 3 au 4 na zaidi afu unakuja kumuwekea limitationsa za umri wa KUINGIA KAZINI ni miaka 20 au 28.
Hapo ni kukatisha watoto tamaa ya kusoma na kuwanyima fursa bila maana yoyote.
Ajira zote za serikali ikiwemo kwenye taasisi zake na za binafsi limitations za kuingia KAZINI iwe ni kuanzia miaka 45.
Hii ni ili WATANZANIA wote waliopambana kusoma wapate fursa za kuchuana KATIKA vinyang'anyiro mbalimbali vya ajira na kazi.
Kila mtanzania msomi anahaki ya kupambana KATIKA ushindani wa soko la ajira maana ni haki yake kuajiriwa na kupata kazi.
Pia kustaafu waongeze umri hadi miaka 65
Labda kama unazungumzia manual work, kama ni kazi za utaalam, wa 45 anakupa vitu vingi na uzoefu ukilinganisha na wa 25Uwezi kulinganisha umri wa 25 na 45 katika utendaji kazi…. Umri wa binadamu kadri anavyokua ndyo unachoka kuvumilia kazi ngumu.. kwanzia 40+ hata macho yanashake focus. Hizi ni tafiti za kweli
Umesoma maelezo yangu?Mbona wazee Wana ufanisi Tena angalau watu wazima wametulia kuliko vijana wako siriazi na kazi wanajielewa na wanaufanisi mzuri
Sasa ubunge na uwaziri ile sio professional job, hata mwenye 60 anaweza kuingia kule…. Ninazungumzia professional jobs abzo zinakuhitaj wewe na nguvu zako.Mbona wabunge mawaziri na rais wengi Wanaingia KATIKA kazi hizo wana zaidi ya miaka 60 na Bado wengine hawataki kustaafu mpaka wanafia kwenye uwaziri mfano lukuvi miaka 70.
Mbona Kuna taasisi za serikali nyingi tuu wanaajiri hadi wa miaka 45, ila taasisi za jeshi ndo wanazingua hawataki kuajiri mtu wa miaka kuanzia 29 panda juuNakubaliana na wewe kusiwe na age discrimination, mtu ambaye yuko better qualified apewe kazi, whether ni 24 au 45. Ila mkuu umepata degree ukiwa na 24 years mpk 45 huna kazi bado maarifa uliyosoma yako kichwani??? Lol
Mbona Kuna taasisi za serikali nyingi tuu wanaajiri hadi wa miaka 45, ila taasisi za jeshi ndo wanazingua hawataki kuajiri mtu wa miaka kuanzia 29 panda juu
Ndo nikasema taasisi zote za serikali zifanye umri wa kuajiri mwisho 45
Sio kweli, labda Kwa mzungu, ila Kwa mwafrika ana mudu.Tukikupekeka jeshini ukiwa na miaka 45 either ufe siku ya Kufungu course au utoroke ndani ya week1