Serikali tafadhali rudisha Fao la Kujitoa

Fao la kujitoa lirudi...tuliofukuzwa kazi tunateseka huku mtaani.
 
Unahoja nzuri..shida Ni kufika sehemu stahiki
 
Kwakweli umejieleza vizuri sana naamini amesikia mana nae nimfuatiliaji mzuri Wa mitandao pengne nae ni member humu
 
Kwa jinsi hali ilivyo tete sijui kama watarudisha hili fao maana na wao wanachota humohumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…