bora wao katoweka mtu mmoja tu,sisi wametoweka tembo zaidi ya 100 na hakuna hata alama ya damu iliyopatikana. Tz maajabu hayaishi
bora wao katoweka mtu mmoja tu,sisi wametoweka tembo zaidi ya 100 na hakuna hata alama ya damu iliyopatikana. Tz maajabu hayaishi
Mume wake anaendeleaje nae bado yupo anamsubiri?
alishatoka gerezani,kaoa mwanamke mwingine
Ila bibie huyu alimdharau sana kwa kujitenga nae baada ya kukamatwa. Ndio maisha hongera zake Mr
Alihukumiwa miezi 6 bwana.Huyu alikua fashionista wa ukweli....
Hakuna kama yeye, namiss swaga zake sometimes.
Mie napenda kiingereza chake tu
Hahahahah
Sasa kumbe alishahukumiwa, kinachofanywa na wachina ni katika kutekereza hukumu zao.
Huko akina Masogange na Huddah msiwe mnaenda.Tutawapoteza na utamu wenu jamani.
Mume wake anaendeleaje nae bado yupo anamsubiri?