Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

Yaani serikali imekosa kazi ya kufanya hadi ianze kufatilia punda? Sheria za China zinajulikana kwa watu wenye makosa kama huyu dada, sasa serikali ifanyeje?
 
Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.Usikute huyo dada ndugu zake walukuwa wanajua fika kuhusu shughuli za ndugu yao ila wakakaa kimya ili ndugu yao atafute pesa za kuweka heshima bongo.
Mtu kama huyu serikali ikimfatilia inapoteza muda tu maana shughuli yake tu ni janga la taifa, kwa sasa wanaoona thamani ya huyo mtu ni ndugu zake sio serikali.
 
bora wao katoweka mtu mmoja tu,sisi wametoweka tembo zaidi ya 100 na hakuna hata alama ya damu iliyopatikana. Tz maajabu hayaishi

Hivi we Bavicha kwa hiyo unaona tembo ni bora kuliko binadamu? Angekuwa Slaa au Josephine ungesema haya?
 
Siyo yeye pekee yake ambaye ni mtz huko aliyefungwa kna wa wtz wengi tu huko wamefungwa na wengine kunyonywa.....
 
Yaani serikali ithamini wauza madawa ya kulevya!!!!
 
Wachina wanawezaje kumuua mtoto mzuri kama huyu jamani... Watupe hata maiti yake jamani,,,,,
 
Ametoweka kivipi wakati hukumu yake inahusiana na kutoweshwa?

Hiyo govt inashindwa kuthamini wanaaobambikiwa kesi na wanaosota magerezani kwa miaka saba bila kesi kuisha ndio ishughulike na huyo punda aliyekamatwa na Dawa za Kulevya China!

Acha utani bana, ili mtu ahukumiwe kifo unahitajika ushahidi usio na chembe ya mashaka, na huyo Jack alijua kabisa akikamatwa huko China lazima atoweshwe; acha sheria ichukue mkono wake.

Vv
 
Hii kitu nikifikiriaga huwa naumia sana sana.tulizakiwa wawili tu mm na brother yangu..alikuwa anafanya hizo biashara.kanisomesha hadi chuo kikuu akajenga nyumba 3 dar na mwanza moja...alitoweka gafra akivyosafir ajarud mpaka sasa...yapata miaka 6 sasa hatuna taarifa naye,bora angeacha hata mtoto tungefarijika..sijui kafa au wamemfunga hatujui...iko siku tutaonana kama yu hai
 
Mwache avune alichopanda,kamdanganya binti kiziwi mpaka sasa ananyea debe hong kong,angefanikiwa kuja na huo mzigo angewadatisha madada wenzake kwa CL za usd 2000,Shoes from Millan Louis Vuitton bora alivyokamatwa.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kumbe alishahukumiwa, kinachofanywa na wachina ni katika kutekereza hukumu zao.
Huko akina Masogange na Huddah msiwe mnaenda.Tutawapoteza na utamu wenu jamani.

Nimecheka mpaka nikapaliwa na chai. Daaah na wana utamu kweli kweli. Lol
 
Poor Risk Analysis.
Why risk ur life nd future that much ?? Wakat unaweza deal bwimbwi hapa hapa bongo. Ukapiga hela ya ukweli tu. Kama huna roho kutu usifanye hzo issue. Just thinking out loud.
 
Back
Top Bottom