Na kirudi tz tu Vanessa atazimia jamaniii! Maana Jux moyo wake uko kwa huyu dada, na Vanessa ndio kafa kaoza.
Alihukumiwa miezi 6 bwana.Huyu alikua fashionista wa ukweli....
Hakuna kama yeye, namiss swaga zake sometimes.
Na kirudi tz tu Vanessa atazimia jamaniii! Maana Jux moyo wake uko kwa huyu dada, na Vanessa ndio kafa kaoza.
Mume wake anaendeleaje nae bado yupo anamsubiri?
bora wao katoweka mtu mmoja tu,sisi wametoweka tembo zaidi ya 100 na hakuna hata alama ya damu iliyopatikana. Tz maajabu hayaishi
SIkapendag kavanesa, katakuwa kamefuata pesa tu
Umeona eeh? Nimem miss sana kwakweli.Alikua anavaa vitu orignal na kiumbo chake sio siri nimemiss
Umejuaje shogaa roho ya jux yote iko kwa jack kwanza wanaendana
Jack si ndio alianza kuacha mume, sasa na yeye baada ya kufungwa mumewe kafunga ndoa halali haswa ya kiisla na miss Tanzania katuli tuli maana huyu miss hapendi mashauzi kama Jack.
Hata mimi sikapendi balaa.Kidogo nitoe ubuyu hapa ngoja niuhifadhi nitausemea kule kwetu wakati ukifika.
Ila Vanessa nae ana pesa binamu sio choka mbaya yule, tena nasikia yeye ndio anamgharamia serengeti wake.
Umeona eeh? Nimem miss sana kwakweli.
Huyo Vanessa analazimisha tu, mbaya zaidi kafa kwa huyo player Jux, yetu macho wambea Jack akirudi.
Hata mimi sikapendi balaa.Kidogo nitoe ubuyu hapa ngoja niuhifadhi nitausemea kule kwetu wakati ukifika.
Ila Vanessa nae ana pesa binamu sio choka mbaya yule, tena nasikia yeye ndio anamgharamia serengeti wake.
alishatoka gerezani,kaoa mwanamke mwingine
Na kirudi tz tu Vanessa atazimia jamaniii! Maana Jux moyo wake uko kwa huyu dada, na Vanessa ndio kafa kaoza.
Wachina wanawezaje kumuua mtoto mzuri kama huyu jamani... Watupe hata maiti yake jamani,,,,,
Hahahahaa.Mimi napenda swaga zake tu, ni mzuri kwakweli.
SIkapendag kavanesa, katakuwa kamefuata pesa tu
Kwa hiyo we msukule wa Chadema unafananisha uhai wa mtu na tembo?
Umejuaje shogaa roho ya jux yote iko kwa jack kwanza wanaendana
View attachment 257627
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa anasubiri hukumu ya kifo kufuatia kukamatwa na madawa kulevya.
Tunaomba serikali itafute tujue mtanzania huyu alipo au kashatekelezewa hukumu yake, pia tujue! Lazima government yetu ithamini raia wake hata kama wana makosa.