Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

Mume wake anaendeleaje nae bado yupo anamsubiri?

Jack si ndio alianza kuacha mume, sasa na yeye baada ya kufungwa mumewe kafunga ndoa halali haswa ya kiisla na miss Tanzania katuli tuli maana huyu miss hapendi mashauzi kama Jack.
 
SIkapendag kavanesa, katakuwa kamefuata pesa tu

Hata mimi sikapendi balaa.Kidogo nitoe ubuyu hapa ngoja niuhifadhi nitausemea kule kwetu wakati ukifika.
Ila Vanessa nae ana pesa binamu sio choka mbaya yule, tena nasikia yeye ndio anamgharamia serengeti wake.
 
Jack si ndio alianza kuacha mume, sasa na yeye baada ya kufungwa mumewe kafunga ndoa halali haswa ya kiisla na miss Tanzania katuli tuli maana huyu miss hapendi mashauzi kama Jack.

Watu wanajua kukamatia fursa jamani! Hata hivyo yule mkaka alibugi kwa Jack...japo huyo Salha nae simpendi kihivyo maana mashauzi hata yeye anayo sana.
 
Hata mimi sikapendi balaa.Kidogo nitoe ubuyu hapa ngoja niuhifadhi nitausemea kule kwetu wakati ukifika.
Ila Vanessa nae ana pesa binamu sio choka mbaya yule, tena nasikia yeye ndio anamgharamia serengeti wake.

duh we mdada huwapendi wengi
 
Umeona eeh? Nimem miss sana kwakweli.

Huyo Vanessa analazimisha tu, mbaya zaidi kafa kwa huyo player Jux, yetu macho wambea Jack akirudi.

Afuuu kakomavu nasikia kanaroho mbaya sana umeona picha za zari akipiga punyeto nilianzisha uzi ukatolewa mara moja
 
Hata mimi sikapendi balaa.Kidogo nitoe ubuyu hapa ngoja niuhifadhi nitausemea kule kwetu wakati ukifika.
Ila Vanessa nae ana pesa binamu sio choka mbaya yule, tena nasikia yeye ndio anamgharamia serengeti wake.

Mmmh haya bwana, naona ndo umeishatubania hivyo
 
Wachina wanawezaje kumuua mtoto mzuri kama huyu jamani... Watupe hata maiti yake jamani,,,,,

Hahahahaa.Mimi napenda swaga zake tu, ni mzuri kwakweli.

Waturudishie hata mwili tuuweke pale Makumbusho, Le mutuz apige nao hata picha moja tuuu akiwa na le mbebez wa ukweli ambaye hajapata mpinzani tz bado.
 
Kwa hiyo we msukule wa Chadema unafananisha uhai wa mtu na tembo?

Aliishusha thamani ya uhai wake yeye mwenyewe. It was a useless life. No offence.

Having a life where all you do is ruin someone else's life sounds pretty much useless to me.
 
View attachment 257627

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa anasubiri hukumu ya kifo kufuatia kukamatwa na madawa kulevya.

Tunaomba serikali itafute tujue mtanzania huyu alipo au kashatekelezewa hukumu yake, pia tujue! Lazima government yetu ithamini raia wake hata kama wana makosa.

Honkong hawana hukumu ya kifo kwa dawa za kulevya hiko chanzo chako kifanye utafiti zaidi ...
 
Back
Top Bottom