Serikali tatu,marais na vyama vitatu tofauti

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736
Habari wana JF,naombeni leo tuli discuss hili kwa kina na ikiwezekana tupieni refences duniani kokote ilikowahi kutokea
NAWAZA TU: Kama sera ya maraisi watatu itatekelezeka na ikIwa raisi mkuu anatoka CCM, Raisi wa Tanganyika atoke CHADEMA na raisi wa zanzibar atoke CUF mmh nnchi itaenda kweli?
 
Reactions: PPM
Serekali 3 ni kuuwa muungano kimya kimya.
 
And for sure,Tanganyika rais lazima atoke Chadema hilo halina mjadala.Sababu kuu ni hii,kwa upande wa Tanganyika Chadema wanakubalika na Znz Cuf ndiyo yenye nguvu,hivyo basi zile kura ambazo ccm walikuwa wanazipata znz kama ziada kwa urais hazitakuwepo.R.p.c ccm.
 
hii haiwezekani a big NO full stop. next....
 
hii haiwezekani a big NO full stop. next....
Kwann wakat
I katiti katiba(Rasimu) inapendekeza serikali tatu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Hili linawapa hofu sana CCM na hakika binafsi sidhani kama wataruhis hiii!
 
Mie kwa mtazamo wangu, serikali tatu bado ni wazo zuri endapo kila upande wataheshimu Katiba na mipaka ya mambo yasiyohusu muungano. Nchi haiongozi kwa chama bali kwa katiba ambayo inapaswa isiwe na masilahi ya upande wowote kuruhusu kila upande kufuata misingi iliyowekwa ndani ya katiba.

Navyo ona mimi kwa sasa watu wamenza kuaminisha umma kuwa serikali tatu haifai kwa kuwa wanaweka masilahi binafsi kwanza na sio maslahi ya pande zote mbili. Mie najaribu kufikiria kama zanzibar ikiwa Nchi huru na Tanganyika ikwa huru tukawa na serikali inayotunganisha, Kila upande utakuwa na uhuru wakujiamulia mambo yao wanayoamini yatawafikisha hatu ya juu zaidi kimaendeleo. Lakini kwakua mchakato wa katiba wananchi kushirikishwa ni geresho, mwisho wasiku kile Serekiali inachokiamini kuwa sahihi ndichokitachowekwa kwenye katiba. Mie ndio maana bado naami swala la muungano lilitakiwa lipigiwe kura jambo ambalo watawala hawawezi kulifanya maana wanajua matokeo yake tayari.

Lakini haya ya kukandamiza democrasia yakweli yatafikia mwisho pale tu kila mtanzania atakapochukia na kutoridhika na hali aliyonayo na kujaribu kufikria sababu za kuwa katika hali aliyonayo ndipo fikra, udadisi na utayari wa kuhoji unajengeka na kuwa tayari kusimamia yale unayo yaamini. Kwa wengi wanaona maisha bado ni possible japo kwa njia ya kuuza rambo kariakoo na kupata kipato kidogo kwa shida kubwa na mwishowe hata hicho chako kidogo kinagombaniwa na watawala kama mpira wa kona kwa kurudhika na hali hiyo mabadiliko yatachukua muda sana. Linalotia matumaini kwa sasa na faraja ni hujuma na mabaya yanayotekelezwa na watawala kwa raia, wanasaidia na kuwa sehemu ya kuharakisha mchakato wa mabadiliko, na ndipo watanzania waingie mchakato wa tatu wakupata katiba huru.
 

Mkuu tusiangalie Chadema tu, tuangalie katiba yenyewe. Kama Chadema inashinda Urais bara, CCM inapata uwaziri Mkuu na CUF inashinda urais Zanzibar, itakuwa big mess. Ukiangalia kwa upande mwingine unaona kuwa lengo la kutaka uwepo wa serikali tatu ni kuweka maoni ya CUF kwenye katiba, yaani kuweka mazingira ya kuvunja muungano. Kila chama kitakuwa na ilani yake, na kila chama kitataka kutekeleza ilani yake. Kitakuwa kizunguzungu juu ya kizunguzungu.
 
Muungano kwishiney!! R.I.P. Muungano!
 
Duh! mkuu hili ni darasa tosha kabisa kwa wote wenye MAPENZI MEMA kwa muungano wetu. Mtoa mada hajiulizi tu kuwa huko USA hivi sasa 'Secretary of State' hupo chama gani na 'President of USA' hupo chama gani. Hapa ni kufuata KATIBA tuu hata simba atatawala tu kwa AMANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…