[TABLE="width: 383"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Rais wa Tanzania[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rais wa Tanganyika[/TD]
[TD][/TD]
[TD]Rais wa Zanzibar[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tofauti kubwa ya serikali tatu ukilinganisha na serikali mbili ni kwamba serikali tatu Zanzibar itapungua nguvu zaidi kuliko ilivyo sasa. Hii ni kwa sababu zifuatazo
Hivyo Zanzibar kama wanataka haki zaidi, uhuru zaidi wana njia mbili (1) Kusiwe na muungano kabisa (2) kuwe na serikali mmoja, nchi moja, na watu wamoja. Serikali tatu haitaongeza chochote Zanzibar badala yake itapunguza nguvu kuliko ilivyo sasa kwasababu hakuna kipya kitafanyika Zanzibar lakini Tanganyika mpya itakuwa na power zaidi, upinajia haki, pesa zaidi, watu zaidi. Tatizo lingine ni kwamba watu wakishajua ukweli na kuanza kudai haki huwezi kuwabadilisha tena.

- Rais wa serikali mpya ya Tanganyika atataka kupigania haki za Tanganyika na haitakuwa kama sana Zanzibar yenyewe ndiyo inapigania haki hivyo vitu kama idadi ya wawakilishi, mabalozi, mawaziri na viongozi wengine wa serikali vitangaliwa upya. Zanzibar tayari wanao hivyo watakao ongezeka ni wa Tanganyika.
- Rais wa Tanganyika atakuwa na nguvu kuliko rais wa muungano kwani wananchi wengi ambao ni wa Tanganyika watamsikiliza ras wao kuliko yule wa muungano. Hivyo nguvu ya urais itapungua.
- Madiliko ya jina la urais: Kama wananchi wataamua kuwa na rais mmoja lakini serikali tatu basi jina la rais halitatumika kwa serikali zote hivyo Zanzibar hakutakuwa na rais bali jina lingine ambalo wananchi wataamua mfano waziri mkuu au makamu wa rais kwani inaweza ikawa ngumu kuwa namajini ya marais watatu kwenye nchi mmoja na Tanganyika haitakubali kuwekwa chini.
- Uchumi: Zanzibar inachangia kiuchumi 4% na ina wananchi 5%-6% hivyo watu watataka mgao utokane na uchumi na idadi ya watu. Mfano kama wanasema serikali kubwa na kuamua kupunguza idadi ya wabunge basi mfumo ujao wataingiza ambao unaangalia idadi ya watu ili watu waone usawa nah ii itapunguza idadi ya wabunge wa Zanzibar. Vilevile kama ni usawa basi hata kwenye shughuli za maendeleo kama misaada wanaangalia hizo namba. Haitakuwa haki Zanzibar kupewa zaidi ya mchango wake na wananchi wataona hilo wazi kuliko ilivyo sasa kwa sirisiri. Hata kama Zanzibar ikipata mafuta angalia idadi ya uwekezaji wa sasa wa gas bado itakuwa kwenye asilimia hiyo hiyo tu.