Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

Achana nao hawana akili Hawa. Ndio maana mwenyekiti wao (ismael Aden Rage) akiwahi kuwaita Mbumbumbu
Hujakosea na ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha wa Yanga SC Luc Eymael Raia wa nchini Ubelgiji mwaka Jana tu alisikika na hata kuonekana YouTube akisema Mashabiki wa Yanga SC Wana Akili mbovu kama za Nyani, Mbwa na Sokwe.
 
Mjifunze kutoka ng'ambo Ulaya)
Mnajiita wa kimataifa halafu kumbe ukimataifa hamuujui
Udhamini hauzuiwi, umiliki ndio usioruhusiwa
Angalia sportpesa, fly emirate, betway. Nenda kina nike etc
Mnataka timu zisidhaminiwe
Lengo mzihonge mpate mteremko
Yanga wamewashtukieni mwaka huu, GSM wakaziba mianya
 
Huu ni umbea tu
 
Nimeona Millioni 15 imetumbukizwa tarehe 5/11/2021 baada ya suluhu.
Hivi ya kweli haya?
 
Hujakosea na ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha wa Yanga SC Luc Eymael Raia wa nchini Ubelgiji mwaka Jana tu alisikika na hata kuonekana YouTube akisema Mashabiki wa Yanga SC Wana Akili mbovu kama za Nyani, Mbwa na Sokwe.
Badala ya kujibu hoja, unaendelea kudhihirisha umbumbumbu aliopata kuusema Aden Rage!!!
 
Nimeona Millioni 15 imetumbukizwa tarehe 5/11/2021 baada ya suluhu.
Hivi ya kweli haya?
Tuseme kweli... sasa tatizo lipo wapi?

Ina maana Mdhamini anapangiwa ni tarehe ipi anatakiwa kuingiza pesa kwenye klabu anayoidhamini, na lini asiingize?!

Hivi nyie watu mbona mnajifucha kwenye vihoja vyepesi?

Mmeambiwa: GSM ameanza kuidhamini Namungo tangu msimu uliopita... Je, Yanga walipata points ngapi toka kwa Namungo?

GSM wameanza kuidhamini Coastal Union tangu 2019/2020... Je, Yanga walichukua points ngapi kwa Coastal?

On top of that, kuna hii hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Hiyo logo kwenye kimshale ni ya nani kama sio ya Kubwa La Makolo, aka Mwamedi?!
 
Luc Eymael Raia wa Ubelgiji na hakuishia tu kuwaita Nyani Ndugu bali alisema ni Mbwa n Sokwe.
Hapo ndo uanendelea kudhihirisha u-Mbumbumbu enu aliowahi kuusema Aden Rage kwa sababu ni mbumbumbu tu ndie anaweza kushadadia kauli za kibaguzi...

Na ndo maana mnaona sawa tu kulalamika eti "tunakamiwa" kwa sababu fulani kazi-dhamini timu zingine...

Ni AIBU GANI HII

Ikiwa mnapigwa 3 home hata na timu ambayo nchini kwao ligi imesimama kwa zaidi ya miezi 18, kumbe mnatarajia nini!!!
 
Umetokea Milembe nini????
 
Vipi Azam alie dhamini vilabu vyote una maoni gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…