Serikali, TFF, Bodi ya Ligi na TAKUKURU; Kwa uhuni huu wa GSM ile "Fair Competition" inayotakiwa na FIFA ipo wapi?

Tatizo Simba kukamiwa na Coastal na Namungo ndo nongwa imetoka hapo eeeh au bond ya Simba day ndo inaleta tabu?!!!
 
Kukamia kunakosemwa sio timu kucheza kiushindani,bali kucheza kivita.Ndio maana wachezaji wako tayari kuvunja mtu miguu ili wapunguze uimara wa timu pinzani.

Kama huelewi hili basi wewe ni kama muuza k au ni muuzaji kabisa
Timu bora huwa inashinda kwa ubora wake na hata ikikaziwa ikiwa no bora itashinda tu ( kwani wakikaza wanacheza 13?)
 
Kukamia kunakosemwa sio timu kucheza kiushindani,bali kucheza kivita.Ndio maana wachezaji wako tayari kuvunja mtu miguu ili wapunguze uimara wa timu pinzani.

Kama huelewi hili basi wewe ni kama muuza k au ni muuzaji kabisa
Leta hoja sio matusi, unajiona mjanja mwenyewe.
 
Sasa GSM wanaidhamini hadi Simba, saga chupa ubwie.

Dogo hela mtatoa na ubingwa🦁 tunabeba.. Mbwa nyie
 
Aliye anzisha michezo hii ni makonda kwa kuwapa kmc m20 waifunge yanga na wala hukuwahi sikia yanga kulalamika ki mama mama hivi
Katika mambo ya kijinga haya wamepewa pesa wamfunge team fulani haya wapeni Billion Namungo wakaifunge Liverpool. ukiwa unaweza unaweza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…