Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Tanzania wanaopewa nyazifa hufanya maamuzi bila kuzingatia madharau ya hapo baadae, (the aftermath)Hii ni sawa na una lala kwenye kitanda chenye kunguni halafu akija mgeni unapiga dawa kuwaua kunguni, akiondoka unaendelea na style ile ile ya kuishi na kunguni. Nionavyo mimi aliyeruhusu biashara ya pkpk na bajaj kuingia kati kati ya miji alikosea sana, kungewekwa na utaratibu wafanyie shughuli zao pembezoni ya miji tu ili kuondoa usumbufu na misongamano iyo ya lazima.