Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Nimeona ujumbe wa katibu mkuu wizara ya habari, ndugu Msigwa kumhusu Mange. Naungana naye kulaani vitendo vya uvunjifu wa sheria vinavyofanywa na watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi. Rai yangu ni kuwa sisi watanzania tuliopo ndani na nje ya nchi yetu, tusisahau kuwa hatuna nchi nyingine tunayoweza kuita nyumbani zaidi ya Tanzania yetu. Ni wazi kuwa tunaowajibu wa kuilinda na kuiheshimisha mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Hata hivyo naishauri serikali yetu sikivu, kwayale inayoweza kuyapuuza iyapuuze. Tutanufaika vingi kwa kupunguza migogoro na wakosoaji wa serikali kuliko kuhangaika nao. Waingereza wanasema "He who wrestles with pigs gets dirty, and the pig likes it." Kuhangaika na Akina Recho, Mange na Polepole haitatusaidia chochote, zaidi zaidi watazitumia hatua hizo kama ushahidi wa serikali kuwatesa wapinzani wake.
Kwasasa hatuna budi kuelekeza nguvu yetu kwenye kazi iliyopo mbele yetu ya kutafuta kura za CCM, chama chetu kipate ushindi wa kishindo. Huu ndio uwe mradi wetu kwa sasa badala ya kuhangaika na wakosoaji wa serikali yetu.