Serikali tunaomba mtoe ufafanuzi wa hizi kauli za viongozi wazanzibar

Serikali tunaomba mtoe ufafanuzi wa hizi kauli za viongozi wazanzibar

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kuna kauli za kibaguzi zinatolewa naa viongozi kutoka Zanzibar tukianza na Naibu Waziri wa vijana Zanzibar alisema wasio wazanzibar warudi makwao

Leo tena naibu makamu wa afya anasema hawawezi kutibu wasio wazanzibar, hivi serikali haioni haya yanayoendelea nchini kama tumeanza kubagua kwenye mambo ya msingi kama afya taifa linaelekea wapi?

Tunatakaa majibu upesi

Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
 
Mbona sio jambo la kushangaza ?? Unyanyasaji wawa Zanzibar kwa wa Tanganyika haukuanza leo labda kama hukuwahi kuishi Zanzibar.... sema kwa sasa wako proud sana kwa sababu Tanganyika haina kiongozi wa kuwatetea ..... yote kwa yote ni kutokana na ujinga tulionao wa Tanganyika . Hatuna umoja katika kuipigania nchi ... hata pale wabapojitokeza wa zalendo mfano wa Jaji Warioba , Father Kitima , Gwajima ,polepole , Lisu na wengine Tumekuwa hatuwaungi mkono
 
Na huku tukianza wanachokifanya itakuwa nini...
 
Kuna kauli za kibaguzi zinatolewa naa viongozi kutoka zanzibar tukianza na naibu waziri wa vijana zanzibar alisema wasio wazanzibar warudi makwao

Leo tena naibu makamu wa afya anasema hawawezi kutibu wasio wazanzibar hivi serikali haioni haya yanayoendelea inchi kama tumeanza jubagua kwenye mambo ya msingi kama afya taifa linaelekea wapi?

Tunatakaa majibu upesi

Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
Muungano umeshakufa
 
Mbona sio jambo la kushangaza ?? Unyanyasaji wawa Zanzibar kwa wa Tanganyika haukuanza leo labda kama hukuwahi kuishi Zanzibar.... sema kwa sasa wako proud sana kwa sababu Tanganyika haina kiongozi wa kuwatetea ..... yote kwa yote ni kutokana na ujinga tulionao wa Tanganyika . Hatuna umoja katika kuipigania nchi ... hata pale wabapojitokeza wa zalendo mfano wa Jaji Warioba , Father Kitima , Gwajima ,polepole , Lisu na wengine Tumekuwa hatuwaungi mkono
Roho mbaya tu zinawasumbua baadhi ya hawa ndugu zetu
 
Lakini mitandaoni tumeona mara nyingi na kwa miaka mingi ikisemwa Zanzibar kuna ubaguzi. Labda viongozi wao wameamua kua wawazi
 
Back
Top Bottom