Mnachelewa sasa.wenzenu wameshaanzaNa sisi tunaanza kufurusha wapemba wote weartudi kwao na huio mchangaq warudishe
Muungano umeshakufaKuna kauli za kibaguzi zinatolewa naa viongozi kutoka zanzibar tukianza na naibu waziri wa vijana zanzibar alisema wasio wazanzibar warudi makwao
Leo tena naibu makamu wa afya anasema hawawezi kutibu wasio wazanzibar hivi serikali haioni haya yanayoendelea inchi kama tumeanza jubagua kwenye mambo ya msingi kama afya taifa linaelekea wapi?
Tunatakaa majibu upesi
Soma Pia: Zanzibar: Naibu Waziri wa Vijana, Hassan Khamis: Wanaofanya kazi kwenye Mahotel Zanzibar siyo wazawa inabidi tufanye Mapinduzi
Roho mbaya tu zinawasumbua baadhi ya hawa ndugu zetuMbona sio jambo la kushangaza ?? Unyanyasaji wawa Zanzibar kwa wa Tanganyika haukuanza leo labda kama hukuwahi kuishi Zanzibar.... sema kwa sasa wako proud sana kwa sababu Tanganyika haina kiongozi wa kuwatetea ..... yote kwa yote ni kutokana na ujinga tulionao wa Tanganyika . Hatuna umoja katika kuipigania nchi ... hata pale wabapojitokeza wa zalendo mfano wa Jaji Warioba , Father Kitima , Gwajima ,polepole , Lisu na wengine Tumekuwa hatuwaungi mkono