Serikali tunaomba mtoe ufafanuzi wa hizi kauli za viongozi wazanzibar

Kinuke.tu kuna ghorofa la jiran yangu hapa huwa namtania lakn moyon namaanisha kabisa MUUNGANO UKIVUNJIKA TU GHOROFA LAKE MALI YANGU
 
Hawa ndiyo zao mnakumbuka zile ndizi walisema Zina magonjwa wabaguzi sana hao nduduuu mxiiiuuu
 
Si yuko kikwete au kwa sababu...
 
Hatuna cha kufafanua.
Nyie zipokeeni kama zilivyo.
 
Ila watanganyika mnapenda kujilizaliza utafkiri last borns.
 
Watanganyika acheni uoga, na hakuna serikali itakayokuja kutoa ufafanuzi ...

Na sie wabunge wetu watoe kauli wakiwa huko huko bungeni na sio uoga huu
 
Zanzibar ni nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…