GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkuu achana na hayo makitu na chemicals hizoKatika Gazeti la Leo la The CITIZEN ukurasa wa Nne ( 4 ) nanyi ( Serikali ) mmekiri 'Kuadimika' Kwake na mmeahidi Kufanya Uchunguzi wa kwanini hivyo tunaomba majibu yenu ya haraka ili Wanywaji wa Soda na tusio Walevi wa Bia na Mvinyo tujue tafadhali.
Mkuu yaani nimecheka mpaka bhasi..!!!!!Mkuu achana na hayo makitu na chemicals hizo
Nunua blender kamua juisi Halafu weka asali
Blender ni less than 200,000
Hayo makitu yanapelekea uume kusinyaa na kukosa nguvu kabisa
Mwanamke anakosa ashki ya ngono
Unajua tunaoa au kuolewa ili tunjunjane sasa hayo masoda ni shida
Nikilewa Chakari Mkuu 'Masela' wanaweza kunivunjia Mayai 'Unyabengani' mwangu.Kunywa double Kiki
Nikilewa Chakari Mkuu 'Masela' wanaweza kunivunjia Mayai 'Unyabengani' mwangu.