Serikali tunaomba mtuambie je, na huku Kuadimika kwa 'Soft Drinks' nchini kumesababishwa pia na Kauli ya Spika Ndugai au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Katika Gazeti la Leo la The CITIZEN ukurasa wa Nne ( 4 ) nanyi ( Serikali ) mmekiri 'Kuadimika' Kwake na mmeahidi Kufanya Uchunguzi wa kwanini hivyo tunaomba majibu yenu ya haraka ili Wanywaji wa Soda na tusio Walevi wa Bia na Mvinyo tujue tafadhali.
 
Mkuu achana na hayo makitu na chemicals hizo

Nunua blender kamua juisi Halafu weka asali

Blender ni less than 200,000

Hayo makitu yanapelekea uume kusinyaa na kukosa nguvu kabisa

Mwanamke anakosa ashki ya ngono

Unajua tunaoa au kuolewa ili tunjunjane sasa hayo masoda ni shida
 
Kila kitu Kimevurugika Kutwa Michambo na Vitendawili Visivyo na Kichwa wala Miguu
 
Mkuu achana na hayo makitu na chemicals hizo

Nunua blender kamua juisi Halafu weka asali

Blender ni less than 200,000

Hayo makitu yanapelekea uume kusinyaa na kukosa nguvu kabisa

Mwanamke anakosa ashki ya ngono

Unajua tunaoa au kuolewa ili tunjunjane sasa hayo masoda ni shida
Mkuu yaani nimecheka mpaka bhasi..!!!!!
 
[emoji16][emoji16]kumbe unaijua hyo.
Kuna jamaa alilewa wakajitokeza vijana wakasema NI ndugu yao wanataka wambebe wampeleke nyumbani jamaa alilia Kama mtoto.
Nikilewa Chakari Mkuu 'Masela' wanaweza kunivunjia Mayai 'Unyabengani' mwangu.
 
Back
Top Bottom