Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

goldcall

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
416
Reaction score
567
Kichwa chahusika.

wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu.

hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui wakubwa wa taifa kwakuwa wanaharibu jamii na watoto, tamaa na uvivu wa kufanya kazi mwanaume anaamua ku left group pia mwanamke hakuna atakaye unga mkono hilo suala, jamii inatakiwa kuwatenga hawa watu maana hata Mungu aliwapiga kiberiti sio binadamu hao wameharibu maana nzima.

serikali yetu tukufu, ingeongeza nguvu katika kutokomeza hili suala la ushoga na kuweka sheria ngumu itakayo komesha huu ushetani, najua kuna mashoga watakuja kuvumia huu uzi, ila mkae mkijua mnatia kinyaa katika jamii.

twende kazi.
 
Naunga mkono hoja

Bongo uchoko bado kurasimishwa tu, ila uchoko upo wazi wazi.
Serikali itoe tamko
 
Back
Top Bottom