Sio milipuko kuna watu wanajamba sana hukoNikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa...
Tutauona Wa Kawaida tuImagine kipindi cha mvua kama hiki mlima unatikiswa kwa milipuko Siku ukishuka ukafukia mji huu uzi mtauonaje?
Huyo akili zake zimejaa kinyesi, yuko hivyo hata kwenye mambo ya msingiMambo muhimu watanzania mnayachukulia poa ila ya simba na yanga ndio muhimu kwenu.
Yeah. Hilo ni muhimu kwani inafaa Jamii kujua yale matukio yanayotuzunguka na ambayo si ya kawaida katika mazingira yetu. Ni haki ya kimsingi kupata Taarifa ya ni kitu gani kinachoendelea.Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa.
Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru ni ya nini?
Kila siku kwa muda wa miezi miwili sasa kuna milipuko mikubwa sana nyuma ya Milima ya Uluguru inayoinamia eneo la kilakala na bong'ola.
Kuna mchimbaji wa nickelNikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa.
Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru ni ya nini?
Kila siku kwa muda wa miezi miwili sasa kuna milipuko mikubwa sana nyuma ya Milima ya Uluguru inayoinamia eneo la kilakala na bong'ola.
Jitahidi uwe unatumia hata robo ya ubongo wako kujibu,mtu kauliza swali Kwa Nia njema unajibu ujinga.Sio milipuko kuna watu wanajamba sana huko
Isikilize vizuri
Kama ni kweli, it is OK, lakini ingelifaa mhusika/mchimbaji awe ametoa TAHADHARI kwa Jamii kupitia Serikali za vijiji husika ili watu au Jamii wasiwe na mshituko au Taharuki kwani matukio kama hilo huweza kuathiri hata wenye changamoto za kiafya (wagonjwa) kwa mfano mshituko wa moyo.Kuna mchimbaji wa nickel
Bhana, watu aisee! ? Any way, umemjibu kadri alivyostahili "garbage in, garbage out"Jitahidi uwe unatumia hata robo ya ubongo wako kujibu,mtu kauliza swali Kwa Nia njema unajibu ujinga.
Mzee tangia dunia iumbwe, labda mripuko wa volcano, lakini mlima kuporomokea mji na kuufukia usichukulie poa namna hiyo.Imagine kipindi cha mvua kama hiki mlima unatikiswa kwa milipuko Siku ukishuka ukafukia mji huu uzi mtauonaje?