Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Wataalumu wa mionzi wanahatarisha maisha yao sana ukilinganisha na madaktari au manurse mionzi ni hatari kwa afya inaweza kusababisha saratani na mazingira magumu ya kazi unaweza kupangiwa kituo cha kazi unakuta hakuna control room wala lead wall hatari inakuwa kubwa. Dosimeter zenyewe mbovu
Ombi kwa serikali wataalumu wa mionzi mtuongezee mshahara.
Ombi kwa serikali wataalumu wa mionzi mtuongezee mshahara.